📌 TANZANIA KINARA UNAFUU WA MFUMUKO WA BEI AFRIKA.
Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/23, Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan iliwekeza nguvu kubwa katika sekta za uzalishaji, kuvutia wawekezaji, misamaha ya kodi kwa malighafi za kilimo, na |