@Canmaster_Oog @Dr_fantasy7 Kwahiyo wamiliki wa clubs zote duniani na wao kukaa kimya ni tabia mfano boss wa al ahly,mazembe,mamelody,azam,Man U,psg,juventus,Chelsea,real Madrid, Barcelona, na clubs zingine? Huo ni ushamba tu wa boss mo wa kutafta sympathy na kutokujua kutunza siri |