Berita Terbaru & Panas secara real time.


Lazio vs Verona   Atalanta vs Empoli   Valencia vs Celta   Freiburg vs Leipzig   Kim hee-sun   Persebaya vs Persis Solo   PSG vs Metz   Madrid vs Betis   Fiorentina vs Juventus   Torino vs Roma   
#ColorfulSuhoDay   #KinnPorscheEP7   Indonesia Pimpin G20   #INAfeelmyRedVelvet   Mbappe   IP67 Water Resistant   Ari Lasso   Wendy   Pak Yuri   Kim Junmyeon   prabowo pilihan milenial   solusi untuk indonesia   karena fokus kerjanya   Minggu   Madrid   Hapsun   Islam Pemersatu Umat   the body shop indonesia   Janji Allah Menguatkan Kita   Irene   Prambors   Manggarai   Madura   LDII   Berani   Sifat   DGITM   Pagiii   Bucket   Innalillahi   Seulgi   

 

Informasi terbaru tentang bajabiriD~Seven
@DSeven07
@bajabiri Ni swala la mda mgogoro utaibuka kati ya lisu na mbowe trust me ni swala la muda tu
Ukicheki character analysis wote hawa wanapenda madaraka na kutukuzwa mpk sasa kuna mmoja anahisi ni wakati wake baada ya mwingine kukaa miaka 30
Tunaweza tusipende ila ndo ukweli ni swala la muda
May-22,2022 11:14
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Paul Mikongoti
@PaulSIFA
@bajabiri Ensisisara hii itakuwa awamu ya pili, baada ya ile ya Post-Mrema.
May-22,2022 11:04
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Padah Confidential 17
@padah_17
@japharykubecha @SuluhuSamia @venusnyota @julius_jaji @SamoraJulius1 @bajabiri @ikulumawasliano @Hakingowi @tusonge_mbele @SelemaniMisango @Ndolezi_Petro Uzalendo n kitu bora kwa hili Taifa
May-22,2022 10:28
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Morrison Msafiri
@MorrisonMsafir2
@bajabiri @TarzanMwaitele2 Rekebisha hapo kwanza, kua Tlp ilizaliwa kutokana mgogoro wa Nccr Mageuzi, halafu ondoa na masimango uliyoanza nayoo.
May-22,2022 07:55
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Ras,nchimbi
@NchimbiRas
@bajabiri Kawaida kwenye vyama huwa kuna mamluki wanaopandikizwa,au kununuliwa!
May-22,2022 07:54
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URLPrince Sumbu
@PrinceSumbu
@Eric_Bernard94 @bajabiri Siyo kushinda tuuuhh atahakksha hata psg haichukui uefa ever
May-22,2022 07:03
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Mankakidoti
@mankadolly
@bajabiri Hii kitu nimeiona sana Tanga jamani mtu ana familia na ananunua changudoa....smh
May-22,2022 06:58
Suka:2   Retweet:0
                        
Tweet URL

Edison Myinga
@EdisonMyinga1
TAKUKURU haina sera ya jinsia wala mikakati ya kushughulikia rushwa zinazotokana na tofauti za kijinsia. Utafiti wa Oxfam ©️2015.
#KatibaMpya
#WenyeNchiWananchi https://t.co/q5qRyprX4y

May-22,2022 06:40
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Baba Shaymar
@ShaymarShahame3
@bajabiri Cha si cha Wananchi wenye Kadi za Uanachama
May-22,2022 06:00
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Rango🇹🇿🇲🇽🇨🇴
@stiff_marealle
@bajabiri uskute ata wewe unanunua bila kujua
May-22,2022 05:32
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL  Berita Terbaru
Selain Minta Maaf, Gus Mus Juga Memaafkan Orang yang Mencemoohnya
May-22,2022 07:03
Suka:79   Retweet:12
 NU Online @nu_online

 Lihat Tingkatan Berita Terbaru

Gegemken Mitoming
@gegemken
@bajabiri Simba ilikufa na Has popo akuna mbadala wake pale kwenye usajili
May-22,2022 05:20
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Kuresoy
@Kuresoy2
@bajabiri Mwalimu wewe ulikuwa wapi hadi saivi unakuja kuwasumbua watu kazini kwao
May-22,2022 05:11
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@LKalalu Hotelini...nimempa bhana
May-22,2022 05:04
Suka:2   Retweet:0
                        
Tweet URL

toruq_makto
@LKalalu
@bajabiri Takrima muhimu
May-22,2022 05:04
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

Yarmoleɴᴋᴏ🇺🇦
@AmbweneDanny
@bajabiri 😅😅daah
May-22,2022 05:03
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URLBaJaBiR
@bajabiri
Huyu mlinzi kunifungulia geti wajibu wake na bado anataka nimpe jero....hii nchi kila mtu anataka ale kwa urefu wa Kamba yake
May-22,2022 05:01
Suka:60   Retweet:5
                        
Tweet URL

Zee la Sumbawanga
@FrancisSimwandu
Sasa Namanyere imeingiaje hapo mwalimu?
May-22,2022 04:42
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

Strange Migrant
@StrangeMigrant
@bajabiri Nyege mwalimu nyege, zikikukaba huna kitu utaona ni ngumu kufahya
May-22,2022 04:38
Suka:2   Retweet:0
                        
Tweet URL

CHAMP2️⃣7️⃣
@danielJKabuga27
@bajabiri Ukiwa unapiga Tizi huku umetupia Brand kama hizi unakua mwenye hali ya kujiamini na morale ya juu saana !

Mazoezi kwa Afya bora na uimara wa mwili hata ukipata nafasi ya kutembelea viunga vya Ikulu hupati tabu kabisa Mwalimu
May-22,2022 04:32
Suka:9   Retweet:1
                        
Tweet URL

chizzo drama
@Chizzodrama
@KCLIDirector @bajabiri Yaani lazima awarushe wanae😁
May-22,2022 04:18
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL


  Berita Terbaru
Sejumlah Karomah Rabi’ah al-Adawiyah

https://t.co/3gZX2Cu6Jz
May-22,2022 06:20
Suka:38   Retweet:9
 NU Online @nu_online

 Lihat Tingkatan Berita Terbaru

chizzo drama
@Chizzodrama
@KCLIDirector @bajabiri Au nadanganya wakuu 😂
May-22,2022 04:16
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Pompiduu
@luv2rhyme
@bajabiri Kuna mgogoro ulitokea kule tanga sikumbuk ni kikao gan ila mrema alirushwa nje kupitia dirishan,nccr ya mabele marabdo,chief fundikira,anthony komu..hii migogoro chanzo kikubwa ni RUZUKU,ingawa wanasema Mabele marando ndo aliua nccr lakn tatizo ni ruzuku
May-22,2022 04:14
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

CHAMP2️⃣7️⃣
@danielJKabuga27
@bajabiri Watu wana take risk sana aisee
Si salama kwa pande zote hususani kiafya na hii biashara uchangia sana katika magonjwa ya kuambukiza kuenea kwa kasi

Hakuna ambae yuko salama kati ya seller na buyer !!
May-22,2022 04:11
Suka:8   Retweet:1
                        
Tweet URL

emmanuel mashaka
@mickyjr04
@bajabiri sawaaa🤣
May-22,2022 04:09
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

P I E R R E
@BiggBos94580170
@bajabiri Mategemeo yake ni money na salah🤣🤣🤣
May-22,2022 04:07
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

emmanuel mashaka
@mickyjr04
@bajabiri Tulia tuliii ⚽️⚽️
May-22,2022 04:05
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
Jumatatu Mchungaji ataongea na Media kutokea Iringa....
@sabi_blessed tunakutegemea
May-22,2022 04:04
Suka:5   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
😂😂😂😂😂😂😂😂....

Sijui yaaani.....
May-22,2022 04:03
Suka:7   Retweet:0
                        
Tweet URL

E.G.Nkali
@EGNKALI1
@bajabiri Steve Gerald Legend wao ndie Meneja wa Aston Villa, anawezamkazia Guardiola kesho watu wasiamini,,
May-22,2022 04:02
Suka:3   Retweet:1
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@Eric_Bernard94 Mie Mwalimu tu Tena mnufaika wa madrasa ya COVID 19
May-22,2022 04:01
Suka:3   Retweet:0
                        
Tweet URL

Four
@24onFour
@bajabiri Chama kama chadema kinaweza kuwa na mbunge mmoja wa jimbo tena mbunge ambaye hana miaka 10 kwenye siasa ? Chadema iliyosimamia vita ya ufisadi na baadae ikaubariki. Sasa wako kwenye katiba mpya ambayo walikimbia bunge màalum.
May-22,2022 04:00
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Four
@24onFour
@bajabiri Muhimu ni kwamba chadema ya leo na chadema ile ya kabla ya magufuli sio kitu kile kile. Kadhalika ccm ya kabla ya magufuli na baada ya magufuli. Siasa zetu na uchumi uliadhiriwa sana na magufuli.

Kuna baadhi ya mambo hatukudhani kama yanaweza kutokea chadema na yametokea.
May-22,2022 03:58
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

McDonald
@JkDonald_
@PhysicsJ7 @bajabiri Ni wewe tu hata utake tulale wiki nzima😂😂

May-22,2022 03:58
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@Eric_Bernard94 Hizi Tarehe ngumu kwa salary gang tunaokuja maeneo haya ni watu ambao tunajitosheleza Kiuchumi 😂😂😂😂
May-22,2022 03:54
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

Ms.Lauren💋
@JuddyLauren
@bajabiri @Amanigp Kama wazazi tunafanyaje jamani kunusuru watoto wetu wakike na wakiume!! Hali ni mbaya mnoo mana asiponunua unakuta wanamnunua yeye😢
May-22,2022 03:53
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

Ms.Lauren💋
@JuddyLauren
@bajabiri @Amanigp Mhhhh asee mambo ni mengii
May-22,2022 03:51
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@JuddyLauren @Amanigp Yeah ndo anamsindikiza mpaka Kinondoni anamuacha anarudi kukaa na kids
May-22,2022 03:49
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

Ryansycrest.
@ryansycrest
@bajabiri Mtu unamua kuwa mwekezaji baada ya muda unasema naachia nafasi nimebanwa na shughuli kweli? Kwa maoni yangu Bora tupate wawekezaji wa kigeni
May-22,2022 03:49
Suka:4   Retweet:1
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@JuddyLauren @Amanigp Jamaa anampokea Mkewe freshi tu....😂😂😂

Nimeishi uswazi nimeona mengi kuhusu mahusiano....
May-22,2022 03:49
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

Anastazia Basso
@BassoAnastazia
@bajabiri Kifua atoe wapi @bajabiri
May-22,2022 03:49
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

Ms.Lauren💋
@JuddyLauren
@bajabiri @Amanigp Hana wivu?? Ujue mpenzi wako anafanya hivyo usiumie hata kidogo😢🙌🏻
May-22,2022 03:48
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@EnockKitinya Jamaa wamemaindi hapo 😂😂😂

Ila waswahili wanamaindi hata mambo hayawahusu
May-22,2022 03:48
Suka:2   Retweet:0
                        
Tweet URL

Ms.Lauren💋
@JuddyLauren
@bajabiri @Amanigp Kiruuuuuu nlidhani nimesikia vyote!! So akija wanatizamanaje😔 anyway mambo ni mengi sana kwa hii dunia
May-22,2022 03:47
Suka:3   Retweet:1
                        
Tweet URL

KITINYA🇹🇿
@EnockKitinya
@bajabiri Unakufaham had namanyere😂😂😂
May-22,2022 03:47
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@JuddyLauren @Amanigp Mahaba.....

Utaum anaoupata hawezi pata kwingine
May-22,2022 03:45
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@Amanigp @JuddyLauren Anajua na sometimes huwa anamsindikiza "Kazini"

Kuna jamaa nilipanga nae same house ikifika saa 10 alasiri anamsindikiza Mkewe anaenda kujiuza hadi asubuhi,yeye mshikaji anabaki na watoto
May-22,2022 03:45
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
Mchango wa Uwanja zilikuwa fiksi tu
May-22,2022 03:42
Suka:5   Retweet:0
                        
Tweet URL

Amani
@Amanigp
@JuddyLauren @bajabiri Ila Ingine ni tabia tu za kujiendekeza then inakuwa addiction.
May-22,2022 03:42
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Happie💕
@Happie_Thom
@bajabiri Tumesikia jirani 😂
May-22,2022 03:41
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

Ryansycrest.
@ryansycrest
@bajabiri Tatizo la simba lipo kwa viongozi wa juu, wana pesa hatukatai lkn wanakosa mipango, tuanze na mchango wa uwacha wao, MO alipiga mkwara mmoja tu leo hii nani anajua ile michango Iko wapi zaidi ya kuwaza ushirikina tu
May-22,2022 03:40
Suka:3   Retweet:0
                        
Tweet URL

Amani
@Amanigp
@JuddyLauren @bajabiri Inawezekana hawachoki, miili Iko na ganzi tayari
May-22,2022 03:40
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@Happie_Thom Mie nawaambia tu
May-22,2022 03:40
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Dennyking
@Dennyking001
@bajabiri Magomeni usalama🤕🤕
May-22,2022 03:35
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Kuboja
@kilimatundu
@bajabiri 😂😂😂fikra zetu haswa vijana wanaotokea familia maskini hujikita hapo
May-22,2022 03:35
Suka:0   Retweet:1
                        
Tweet URL

Msomali
@Shababy_Jr
@FumboKhan2019 @bajabiri Wengine tulikuwa maji moto tunavuna mpunga
May-22,2022 03:33
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Ryansycrest.
@ryansycrest
@bajabiri Bodi ya wasomi wa elimu gani? Ushirikina ? Kazi y pesa ni kurahisisha mambo sasa hili la kuloga mchana kweupe mpk CAF wanawapiga adhabu si ujinga na mhindi kajikausha tu
May-22,2022 03:31
Suka:5   Retweet:1
                        
Tweet URL

Amani
@Amanigp
@bajabiri @JuddyLauren Sema inawezakana, nilillala Lodge moja, nikashtuka kuona Kuna mdada anaingiza tu wageni like kila 30mins. Ikabidi niulizw wenyeji, nikaambiwa ndio biashar yake. Siku nzima😂
May-22,2022 03:31
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@aniset201 @JacobJaphet12 Yeah...but nimeona ametulia baada ya kuwa Katibu Mkuu...before alikuwa hatari
May-22,2022 03:31
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

aniset20
@aniset201
@bajabiri @JacobJaphet12 Mmmmh apo sas ndo nawaza nam mie lbd mnyika kwa mbali namuona hayuko too emotional km wengine
May-22,2022 03:30
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@Amanigp @JuddyLauren Yeah...sijui pale bado wanajiuza au lah...ilikuwa CDA social club hapo uhindini....nilishangaa sana within 3 mins Binti anabadili mtu
May-22,2022 03:29
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@JacobJaphet12 @aniset201 Ila mind u,kwa siasa za Bongo za kukabiliana na Dola inahitaji kuwa na Mwenyekiti asiye na mihemko....asiye na Hasira....Mbowe amepitia mengi sana 2016-2022 ila ameonesha Uvumilivu binafsi na amewatuliza sana wanachama wake....

Hao ulowataja wanaweza?
May-22,2022 03:28
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Kuboja
@kilimatundu
@bajabiri 😂😂😂mlo unaumiza, vijana wakiahidiwa mpunga na vyeo lazima waondoke, ogopa msomi ambaye hana pesa😂😂😂
May-22,2022 03:27
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

aniset20
@aniset201
@JacobJaphet12 @bajabiri Ondoa mdude apo tafadhali mkuu ila samahan wengine sawa
May-22,2022 03:27
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
😀😀😀😀😀
Lakini Wana Bodi ya wasomi
May-22,2022 03:26
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

B.L.E.S.S
@believeinuaself
@Eric_Bernard94 @bajabiri Labda Madrid, Liver, Chelsea, City, Bayern wawe wamukufa ndio PSG abebe. PSG kubeba UCL ni future impossible tense. Just tuendelee kuangalia soka n u will see it.
May-22,2022 03:26
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

Kuboja
@kilimatundu
@AsterBrian @bajabiri 😂😂😂nachokiona ni vijana CCM wanashindwa kuendana na siasa za wakati na wengi wao hawawezi kujenga hoja wakibanwa wanakuwa wakali na kufanya vitisho Kwa siasa za Sasa watu wanataka hoja vitisho havina nafasi
May-22,2022 03:26
Suka:1   Retweet:1
                        
Tweet URL

Amani
@Amanigp
@bajabiri @JuddyLauren Dodoma hiii hii ya makao makuu😂?
May-22,2022 03:25
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@JuddyLauren Lakini pia Kuna "Wenye ajira" wanajiuza....Tena wanafanya Kazi nzuri na scales nzuri....bado hili swala linachanganya sana
May-22,2022 03:24
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Ryansycrest.
@ryansycrest
@bajabiri Mpira unanzia kwenye uongozi, wakati Yanga inapambana kuwavuta senzo na Haji manara wao walikuwa bize kutafuta waganga wa kienyeji matokeo yake tumeona kuanzia south mpk ligi kuu😆
May-22,2022 03:24
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

Aster Brian
@AsterBrian
@kilimatundu @bajabiri Si kwakua wanapenda uchawa?
Hata mwenyewe aliwashtukia kuwa ni maselule.
May-22,2022 03:24
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Kuboja
@kilimatundu
@bajabiri 🤣🤣🤣kwahiyo aliwarudisha home, inawezekana Siasa kufanyiana udukuzi ni suala la kawaida
May-22,2022 03:23
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
PSG leo wanajipigia tu
May-22,2022 03:23
Suka:16   Retweet:1
                        
Tweet URL

Ms.Lauren💋
@JuddyLauren
@bajabiri Mhhh wanakuwa wamejikatia tamaa sometimes koz hata kama ni shida kuna so many ways za kupata riziki zaidi ya kufanya hiyo biashara!!

Wakati mwingine ni roho /pepo wachafu tuu wakikuingia ndio unapotoka kama hivyo
May-22,2022 03:23
Suka:0   Retweet:1
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
Yaani mie sio mwana CHADEMA halafu nipendekeze "flani anafaa kuwa Mwenyekiti"

Hapo ntakua sipush demokrasia
May-22,2022 03:23
Suka:3   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@JuddyLauren Kuna siku nilikuwa mahali DODOMA....nikishuhudia uchafu ambao maisha yangu yote ya Dar sijauona....a girl can date with 5 men with 15 mins....😀😀😀😀
May-22,2022 03:21
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Prosper Mlelwa
@justprosper_
@aniset201 @bajabiri Hizi akili ndo mwisho wa siku tutakuja ishia kua na rais wa maisha.
May-22,2022 03:21
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

Ryansycrest.
@ryansycrest
@bajabiri Kuongoza sio shida sana kupata kiongozi asiye na njaa tu hapo ndo mtego
May-22,2022 03:21
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

Dr.Julius E.Alma's
@DrKessyJulius1
@PhysicsJ7 @bajabiri We Huna? Iko Ivi hakuna asiekua na Njaa? Je Ccm Tanzania wako Ikulu tangu 1961 Je nao nao ni Njaa?
May-22,2022 03:21
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Ms.Lauren💋
@JuddyLauren
@bajabiri Speed kali mwalimu! Ila ukiwa na kinyaa plus hofu kidogo tuu ya Mungu huwezi thubutu!! Hii wanaweza watu wenye roho zao😁😁😁
May-22,2022 03:20
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Ryansycrest.
@ryansycrest
@bajabiri Simba tokea mechi ya 1 hawajakaa nafasi ya kwanza mpk sasahivi 😆😆
May-22,2022 03:19
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
Hilo nawaachia wenyewe ila watu wenye uwezo wapo....ukisema hamna itakuwa kuwakosea heshima wanachama mamilioni wale....

CHADEMA ni miongoni mwa vyama vya Upinzani ambavyo vimeandaa viongozi/Wanasiasa wengi mahiri nchi hii...so Mwenyekiti hawezi kosekana
May-22,2022 03:18
Suka:3   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@JuddyLauren Kwanza huo usingizi sitaupata....na hisia hazitakuwepo....unalala na mtu ambaye umemnunua na unajua anajiuza....he he hee....

Ujana unatupeleka lesi sana.....
May-22,2022 03:17
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

aniset20
@aniset201
@bajabiri Sasa mkuu sawa ila nisaidie pale chadema nan anaweza ongoza kama mbowe mkuu unavyoona pale akiondoka dah mmmh
May-22,2022 03:16
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Gegemken Mitoming
@gegemken
@bajabiri Tatizo wakishatuma sms kwa mama ndo wanakuja kulopoka uku utumbo wao
May-22,2022 03:16
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Ms.Lauren💋
@JuddyLauren
@bajabiri Wenyewe hawajali hilo wala, kikubwa apate starehe anayotaka! Majuto ni mbele ya safari baada ya kushusha pumzi😁
May-22,2022 03:16
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Mfuga Mbwa⏱
@erniebarney1
@bajabiri Hakuna atakae kinda dunia mwalimu
May-22,2022 03:15
Suka:2   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
Ule mchakato wa kuweka ofa unaenda kulala na stranger unapata usingizi kweli?
May-22,2022 03:15
Suka:4   Retweet:0
                        
Tweet URL

Gegemken Mitoming
@gegemken
@bajabiri Mzee uyu alivyobaili Sasa hivi ahamin macho yake yeye alikua amekalili eti kisa mbape alisema Madrid ni timu ya ndoto yake
May-22,2022 03:14
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

aniset20
@aniset201
@bajabiri Baada ya kuingia top 4
May-22,2022 03:14
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Stan 🇹🇿
@StanTusiwe
@bajabiri Ni haramu
May-22,2022 03:14
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

McDonald
@JkDonald_
@bajabiri hakuna maneno mengi pale weka offer yako mtu aangalie kama inalipa...
May-22,2022 03:13
Suka:2   Retweet:0
                        
Tweet URL

Dr.Julius E.Alma's
@DrKessyJulius1
@bajabiri Mbona Ccm Tanzania wako Ikulu tangu 1961 na hawana Mpango wa kutoka Je hakuna wengine?
May-22,2022 03:13
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
Azam wameweka MSIMAMO usiku wa "manane" 😀
May-22,2022 03:12
Suka:11   Retweet:1
                        
Tweet URL

Legend🚦
@malekeajr
@bajabiri Maji yakizidi unga unapika uji
May-22,2022 03:12
Suka:1   Retweet:0
                        
Tweet URL

aniset20
@aniset201
@bajabiri Na vp kuusu mbowe kuwa mwenyekiti mda mrefu nae anaweza kupinduliwa km mbatia au ishawai tokea nisaidie
May-22,2022 03:11
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
@_Shafido_ Naangalia game Star Park.

Sema @Eric_Bernard94 anapasifiaga sana ninegundua why hupenda kuja hapa
May-22,2022 03:09
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

BaJaBiR
@bajabiri
Hatuna ushahidi....lakini hata hao wenyewe wanaipalilia....Mtu amekuwa Mwenyekiti wa Chama tangu nipo Primary hadi leo nalipa Kodi.....ina maana kwenye hivyo vyama hakuna wenye uwezo wa kuongoza zaidi ya hao tunaowaona na kuwasikia?
May-22,2022 03:08
Suka:7   Retweet:2
                        
Tweet URL

Shafido
@_Shafido_
@bajabiri Dah nenda kituli mzee😂😂😂😂😂
May-22,2022 03:07
Suka:0   Retweet:0
                        
Tweet URL

Kuboja
@kilimatundu
@bajabiri Wangekuwa wamepotea CCM wasingehangaika kuwaita, 🤣🤣🤣viongozi wa chama tawala wanajua huko mtaani ni Kwa moto, lazima wakae naona kupunguza joto
May-22,2022 03:07
Suka:2   Retweet:1
                        
Tweet URL

BOAZ
@PhysicsJ7
@bajabiri Kitu gani hicho
May-22,2022 03:06
Suka:2   Retweet:0
                        
Tweet URL


 bajabiri (Twitter)Lazio vs Verona   Atalanta vs Empoli   Valencia vs Celta   Freiburg vs Leipzig   Kim hee-sun   Persebaya vs Persis Solo   PSG vs Metz   Madrid vs Betis   Fiorentina vs Juventus   Torino vs Roma   
#ColorfulSuhoDay   #KinnPorscheEP7   Indonesia Pimpin G20   #INAfeelmyRedVelvet   Mbappe   IP67 Water Resistant   Ari Lasso   Wendy   Pak Yuri   Kim Junmyeon   prabowo pilihan milenial   solusi untuk indonesia   karena fokus kerjanya   Minggu   Madrid   Hapsun   Islam Pemersatu Umat   the body shop indonesia   Janji Allah Menguatkan Kita   Irene   Prambors   Manggarai   Madura   LDII   Berani   Sifat   DGITM   Pagiii   Bucket   Innalillahi   Seulgi   

ArgentinaAustraliaBrasil
CanadaDanmarkDeutschland
U.K.U.S.A.España
FranceभारतIndonesia
Italia日本Mexico
PhilippinesРоссия
ประเทศไทยTürkiye